Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

AVOCADO FACE & BODY SOAP

Sep 15th, 2022 at 23:47   Beauty & Health   Dar es Salaam   45 views

19,000 TSh

  • avocado-face-body-soap-big-0
Location: Dar es Salaam
Price: 19,000 TSh

AVOCADO FACE & BODY SOAP

Ni sabuni ya parachichi ina na aloevera pia imechanganywa na glycerin ya mafuta ya nazi na mchikichi kwa ajili ya kutunza unyevu na kulainisha ngozi..
Zaidi ya hapo ina vitamin A,B,D na E kwa ajili ya kusafisha taka taka kwenye mwili na kuzibua vitundu vya ngozi yako na kuifanya ngozi iweze kupumua vizuri.
Ina harufu nzuri ya matunda ya citrus (limao) inayofanya mwili wako unukie vizuri, kukata harufu mbaya ya jasho.
Inafaa kutumiwa kwa watu wote, watoto, watuwazima wakike na wakiume.

*FAIDA ZAKE.*

*kuondoa ngozi ilochoka.
*kuzibua vitundu vya ngozi.
*kukulinda na magonjwa ya ngozi kama chunusi, harara, muwasho na fangas.
*kulainisha ngozi, na kukupa hafufu nzuri..
*Sabuni yetu inapatikana kwa  17,000*
*Uzuri wako unasabbu ya kutumia bidhaa zisizo na chemicali ili kulinda afya ya ngozi yako*


PIGA SIMU KUPATA SABUNI YAKO POPOTE ULIPO
 
+255 673151212