Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Bawasiri Bila ya Upasuaji Jitibu Kwa Vyakula Tiba

Mar 23rd, 2022 at 07:27   Beauty & Health   Arusha   58 views

-- TSh

  • bawasiri-bila-ya-upasuaji-jitibu-kwa-vyakula-tiba-big-0
Location: Arusha
Price: -- TSh

UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE Bawasiri ni nini Huu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk SABABU YA BAWASILI Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa Vinyama sehemu ya haja kubwa DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI 1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa 2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa 3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa 4.kupata kinyesi chenye damu 5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 6. Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI 1.Uzito kupita kiasi(Overweight) 2. Ujauzito 3.Kunyanyua vitu vizito na Mazoezi makali 4.Kukaa sana sehemu eneo moja mda mrefu 5.Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume). 6.Kujisaidia Choo Kigumu. Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni: -Vidonda vya Tumbo -Ngiri/Hernia -Ulaji duni AINA 2 ZA BAWASIRI 1. BAWASIRI YA NJE Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa. 2.BAWASIRI YA NDANI Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni: HATUA YA KWANZA Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia. HATUA YA PILI Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia HATUA YA TATU Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda HATUA YA NNE Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia. ATHARI ZA BAWASIRI 1.Upungufu wa damu mwilini 2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua 3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa 4.kupungukiwa nguvu za kiume 5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu 6.Kupata tatizo la kisaikolojia 7. Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer) 8.Mwili kudhoofika mwili na kinga kupungua TIBA YA BAWASILI Mara nyingi Tiba ilio zoeleka kwa hospital ni upasuaji Ila tuna bidhaa ambazo zimewasaidia wengi zenye uwezo wa kuondoa bawasili bila upasuaji Kwa maelezo zaid wasiliana nasi