CCTV CAMERA
Jan 10th, 2022 at 13:54 Electronics Dar es Salaam 93 views"Hii Ni ZAWADI yako na ni BONGE LA OFFER Kwako na familia yako au biashara yako."
Usihuzunike na maisha yako kuwa na furaha muda wote.Ikiwa umepatwa na shida au na mabalaa,misukosuko basi subiri na uvumilie kwani shida hazidumu..Sio peke yako uliochomwa na miba,ukiona umechomwa na Miba basi mwenzio amechomwa na mkuki" Usichoke kumuomba Mungu Akusaidie
Ipe furaha na Amani familia yako muda wote kuanzia usalama wao kwa kufunga vifaa vya kusaidia ulinzi katika mazingira yako yoyote.
HII NI OFFER NA NI ZAWADI KWAKO.
Ile huduma ya Punguzo ni hii hapa kuanzia Jan 10.2022.
*MAISHUU_ELECTRONICS*
Hii sio ya kukosa...angalia OFFER zetu za ufungaji *CCTV Camera* Sawa na bure kabisa.
Chagua kifurushi chako.Gharama zinaweza pungua zaidi au kuongezeka kutokan na idadi ya camera unazotaka na vifaa vyake.*Usiogope kuuliza au kuomba kwa bajeti yako uliyokuwa nayo*
=================================
*CAMERA 4*
*1️⃣:4CH Colored* *sh 650,000* (4Ch DVR, HDD 1TB,Camera 4,Coaxial cable 100m, BNC 8,Power Pin 4,Power Supply, ufundi/installation)
Ukilipia *Tsh 800,000* unapata na *Monitor nchi 19* na Zawadi ya *Cabinet 4U* bureeee
*2️⃣: 4CH ColorVu* sh *750,000* (4Ch DVR, HDD 1TB,Camera 4, cable 100m, BNC 8,Power Pin 4, Power supply, ufundi/installation)
Ukilipa sh *950,000* unaongezewa na *monitor inch 19*, na zawadi ya *Cabinet 4U* na Cable ya HDMI 10m copper 100%
=================================
*CAMERA 8*
*3️⃣: 8CH Colored* ni sh *950,000*(8Ch DVR, HDD 1TB,Camera 8, Coaxial cable 180m, BNC 16,Power Pin 8,Power supply, Ufundi/installation)
Ukilipia sh *1,100,000* utapata na *4U Cabinet* na zawadi ya *monitor inch 19*
*4️⃣:8CH ColorVu* ni sh *1,180,000* (8Ch DVR, HDD 1TB,Camera 8, Coaxial cable 180m, BNC 16,Power Pin 8,Power supply, Ufundi/installation)
Ukilipia sh *1,350,000* utapata na *HDMI Cable 10m,Cabinet 4U* na zawadi ya *Monitor inch 19*
=================================
*CAMERA 16*
*5️⃣: 16CH Colored* sh *1,665,000* (16Ch DVR, HDD *2TB*,Camera 16, Coaxial cable 280m, BNC 32,Power Pin 16,Power supply, Ufundi/installation)
Ukilipia sh *2,100,000* unapata *monitor inch 24,Cabinet 4U* na *zawadi ya Router 4G* kuungiwa internet)
*6️⃣: 16CH ColorVu* ni sh *2,165,000* (16Ch DVR, HDD *2TB*,Camera 16, Coaxial cable 280m, BNC 32,Power Pin 16,Power supply, Ufundi/installation)
Ukilipia sh *2,600,000* Utapata na *Monitor inch 24*, *Cabinet 4U* na *ZAWADI ya ROUTER 4G kuona kupitia Internet* na *HDMI Cable 10m free*
=================================
*CAMERA 32*
*7️⃣: 32 CH Colored* sh *3,5000,000* (32Ch DVR, HDD *2TB*,Camera 32, Coaxial cable 500m, BNC 64,Power Pin 32,Power supply, Ufundi/installation)
Ukilipia sh *4,200,000* unapata na Monitor inch *30*, *Cabinet 4U*,na *Zawadi ya ROUTER na HDMI Cable 20m* freeee
*8️⃣: 32CH ColorVu* sh *4,450,000*(32Ch DVR, HDD 2TB,Camera 32, Coaxial cable 500m, BNC 64,Power Pin 32,Power Supply, Ufundi/installation)
Ukilipia sh *5,050,000* Utapata na *Monitor inch 30*, Cabinet 4U, na *ZAWADI ya ROUTER 4G na HDMI Cable 20m* free
=================================
Monitor inch 19 sh 140,000
Monitor inch 24 sh 200,000
Router 4G sh 200,000
Cabinet 4U sh 120,000
*NB:Tunafanya kazi kwa ubora nambari moja,wenye kujiamini na kuzingatia usafi kupitia wabunifu wetu wa kazi,wenye ujuzi na uzoefu*
Wasiliana nasi kwa:
*0714 890 944/0768 401 161* call/Whatsapp
Tabata Kinyerezi
Na mikoa yote kazi zinaendelea.
Cctv Camera
Electric fence
Gate Motor
Fire Alarm n.k
Instagram & Facebook:maishuu_electronics