Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

CHANZO CHA WANAUME KUFIKA KILELENI MAPEMA$ TIBA YAKE

Dec 28th, 2022 at 18:28   Beauty & Health   Arusha   54 views

1 TSh

  • chanzo-cha-wanaume-kufika-kileleni-mapema-tiba-yake-big-0
Location: Arusha
Price: 1 TSh Negotiable

*CHANZO CHA MWANAUME KUFIKA KILELENI MAPEMA, NA TIBA YAKE*

Matatizo ya kijinsia ni mengi baadhi tunaweza kuyakabili kwa urahisi, na kuna mengine yanahitaji utaalamu maalumu kuyapatia tiba. Wakati mwingine maradhi husika huwa na taathira kutokana na mtu…. Na tutazungumzia moja ya maradhi maarufu ya kijinsia… Tutazungumzia tatizo la wanaume kuwahi kumwaga *(PREMATURE EJACULATION).* *Premature Ejaculation* ni hali ya mwanaume kuwahi kufika kileleni ndani ya sekunde 30 hadi dakika nne baada ya kuanza tendo. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, tatizo la kuwahi kumwaga (Premature Ejaculation) ni miongoni mwa matatizo ya kijinsia yaliyoenea sana kwa wanaume, na ni mzigo mkubwa wa kisaikolojia kwa mume. Aidha, tatizo hilo humfanya mwanamke achanganyikiwe na hata kumfanya asiwe na hamu kubwa ya kushiriki tendo au kulikimbia tendo la ndoa kwa hofu ya kutotoshelezwa. Tafiti zinaonesha kuwa asilimia kubwa ya vijana wapya katika ndoa hukabiliwa na tatizo la kumwaga mapema, na huwenda tatizo hilo likaendelea kwa miaka mingi. Tatizo hili ambalo hujitokeza dakika moja kabla ya mwanaume kumuingilia mwanamke au dakika moja baada ya kumuingilia, humfanya mwanaume asiwe na uwezo wa kuchelewa kumwaga. Maradhi haya hutokana na taathira hasi za kisaikolojia na kijamii kwa mwanaume husika, kama vile wasiwasi na mkanganyiko, na linaweza kumfanya akimbie kushiriki tendo la ndoa. Kwa mujibu wa tafiti na ripoti mbalimbali, maradhi haya ndiyo maradhi yaliyoenea zaidi miongoni mwa maradhi ya udhaifu wa kiume, ambapo inakadiriwa kuwa asilimia 39 ya wanaume wenye umri kati ya miaka 18 na 64 wanasumbuliwa nao. Tofauti na maradhi mengine ya udhaifu wa kijinsia (kama vile tatizo la kusimamisha), tatizo hili halina uhusiano na umri wa mhusika.