Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

CONSTRELAX SOLUTION

Jan 25th, 2023 at 07:48   Beauty & Health   Arusha   8 views

75,000 TSh

  • constrelax-solution-big-0
Location: Arusha
Price: 75,000 TSh

FAIDA ZA CONSTIRELAX

 

#Inasafisha tumbo vizuri mno na kuondoa hali ya kuvimbiwa (constipation)

#Inaondoa sumu zote tumboni

Inaondoa dalili za Bawasiri sugu (Acute Hemorrhoids) kama kuvimba, kutoka damu.

#Inaboresha mzunguko wa maji maji mwilini na kuondoa viuvimbe vinavyo sababishwa na maji maji.

#Inasaidia kutibu aina mbali mbali ya vidonda vya tumbo (Peptic & Gastric)

#Tiba nzuri ya Mawe kwenye figo.

#Inaboresha ngozi yako kwa kuondoa sumu ndani.

#Inaondoa gesi na uchafu wote usiotakiwa tumboni . 

 

*VIUNGO* (INGREDIENTS)

#FOS (Fructo-oligosaccharide

#Radix Astragali

#Prebiotic 

 

MATUMIZI

Sachet 1 mara 2 kwa siku kabla ya chakula

Kwa watoto nusu Sachet mala 2 kwa siku kabla ya chakula kwa siku. 

 

*TAHADHARI*

Kwa watakaotumia mara ya kwanza wengine itawaletea hari ya kuvulugwa tumbo na hata kuhara au gasi na kuunguruma kwa tumbo

Hii ni kawaida inatokana na kusafisha tumbo na kuondoa bacteria (phenomenon) hali itaisha kadri anavyoendelea kutumia.