Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DALILI MADHARA NA TIBA BILA PID

Nov 9th, 2022 at 07:48   Beauty & Health   Arusha   19 views

-- TSh

  • dalili-madhara-na-tiba-bila-pid-big-0
Location: Arusha
Price: -- TSh

IJUE PID NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE 

 

P I D (Pelvic Inflammatory Diseases)Ni Maambukizi katika via Vya uzazi ambayo husabishwa na Magonjwa kama Uti rudizi ,fangasi ,Gonorea,Kisonono ,Kutoa Mimba ,Matumizi Ya madawa ,Uzazi wa mpango na nk

 

Dalili za PID zinatofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine.

 

Kwa baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na kwa wengine dalili huwa za kawaida, wakati mwingine wanawake hukaa na ugonjwa kwa muda mrefu bila kujua kutokana na kuchanganya dalili na magonjwa mengine.

 

DALILI ZA PID

 

1.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto

 

2.Sehemu za uke kuwa na ulaini sana

 

3.Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ndoa na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa

 

4.Kuvurugika kwa hedhi

 

5.Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani

 

6.Maumivu wakati wa kukojoa

Kupata maumivu wakati wa choo

 

7.Kupata damu Mara baada ye tendon au wakati wa tendo

 

8.Homa kichefu chefu na nk

 

MADAHRA YA PID

 

Maambukizi kwenye njia ya uzazi husababisha athari kubwa sana kwa mwanamke,

 

kama tulivoona pale juu PID inaweza kusababisha ugumba na mimba kujishikiza mahali pasipo sahihi(ectopic pregnancy) tofauti na mfuko wa mimba.

 

Kadiri unavoumwa zaidi PID ndivyo hatari ya kupata ugumba inavoongezeka.

 

Mimba kutokea nje ya mfuko wa mimba ni ishu kubwa ya kiafya na inahitaji uangalizi mkubwa wa kidactari ili kuzuia kuvuja kwa damu na hatimae kupelekea kifo kwa mama. Madhara mengine ya PID ni

 

Kupata majeraha kwenye mirija ya uzazi, majeraha yanaweza kutokea nje ama ndani,

 

tatizo hili linaweza kuwa gumu kutibika na hutokea tu pale ambapo maambukizi hayakutibiwa kwa muda mrefu zaidi

 

Kuziba na kujaa maji kwa mrija ya uzazi(hydrosalpinx kutokana na majeraha ya tishu zake

 

Maumivu ya tumbo ya muda mrefu husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa na mwanamke kutofurahisa unyumba.

 

Kuongezeka kwa hatari ya kupata matatizo mengine wakati wa ujauzito na kujifungua.

 

Kama tulivokwisha kusoma kwamba PID huletekezwa kwa kiasi kikubwa na magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa vizuri (sexual transmitted diseases).

 

Kwa hivo basi ni muhimu kufahamu dalili za magonjwa ya zinaa ambayo ni common sana kwenye jamii yetu kama gonorrhea(kisonono) na chlamydia.

 

Ugonjwa wa Chylamidia ni ugonjwa wa zinaa unaowaathiri wake kwa wanaume na husambazwa kupitia uke, njia ya haja kubwa 

 

Tumewasidia wengi na wamepona kwa kufuata ushauri tunao waelekeza

 

 kwa ushauri na msaada zaid unaweza wasiliana nasi

 

#dalilizapid

#ugonjwawapid

#madharayapid

#pid