Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DALILI MADHARA NA TIBA YA HORMONE IMBALANCE

Sep 15th, 2021 at 12:39   Beauty & Health   Arusha   69 views

70,000 TSh

  • dalili-madhara-na-tiba-ya-hormone-imbalance-big-0
Location: Arusha
Price: 70,000 TSh

3. DALILI ZA HORMONE IMBALANCE Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu.

Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:

- Ukavu ukeni

- Maumivu wakati wa tendo la ndoa

- Kutoa jasho usiku

- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi

- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa

- Mabadiliko ya siku za hedhi

- kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)

- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi

- Uchovu wa mara kwa mara

- Hasira za mara kwa mara - Kukosa usingizi

- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara - Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula - Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe

- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)

- Maumivu ya viungo - Upungufu wa nywele kichwani - Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)

- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

- Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi

- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

- Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango

- Maumivu ya kichwa mara kwa mara - Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)

- Kutokupata choo kwa wakati

- Misuli hudondoka

MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONl

 Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.

Njia hizo husababisha

saratani ya kizazi,

CD4 kushuka,

sehemu ya uke kuwa baridi,

huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua,

huathiri mtoto atakayezaliwa,

huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria),

kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.

Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:

•Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

•Mimba kuharibika mara kwa mara;

•Kukosa mtoto au Ugumba

•Maumivu wakati wa tendo la ndoa

•Kuwa na tabia na maumbile ya kiume

•UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara

•Kuzeeka mapema

•Kuziba kwa mirija ya uzazi

•Saratani

•Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)

. SULUHISHO

1. Suluhisho Linalopendwa Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replaceme Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo:

vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo, … n.k.

Suluisho la kudumu linapatikana Tupigie au tutafute kwa ushauri zaidi na tiba

(Tunatumia bidhaa za asili zisizo na madhara yeyote kuondoa tatizo la HORMONE IMBALANCE  na MADHARA yake)

Tunapatikana

Arusha

Dar es salaam

Morogoro

Mwanza Mbeya

Dodoma na nk