DALILI MADHARA NA TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI
Nov 22nd, 2021 at 14:36 Beauty & Health Mwanza 114 viewsTezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) -
Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.
Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.
DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-
• kubakiza mkojo kwenye kibofu.
• Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
• Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
• Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
•Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
• Uume kushindwa kusimama vizur.
•Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.
ATHARI ZA TEZI DUME KAMA HAITAWAHI KUTIBIWA:-
2. Kupatwa na maambukizi ya UTI
3. Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4. Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
Tunaondoa TEZI DUME bila upasuaji Karibu ushaur ni bure kabisa
Gharama apo chini ni dose ya mwezi mmoja ili ukae sawa ni miez mitatu