Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DALILI NA TIBA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME

Nov 22nd, 2021 at 16:51   Beauty & Health   Arusha   118 views

420,000 TSh

  • dalili-na-tiba-ya-kuvimba-kwa-tezi-dume-big-0
Location: Arusha
Price: 420,000 TSh

TEZI DUME NI NINI?.

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) -

Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.

Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.

Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.

Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.

Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.

Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME

• Kukojoa Mara kwa mara.

• kubakiza mkojo kwenye kibofu.

• kukojoa saana usiku.

• Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.

• Kupungukiwa nguvu za kiume

• UTI ya Mara kwa mara.

• Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.

• Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.

• Kupoteza fahamu.

•Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.

• Uume kushindwa kusimama vizur.

•Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME KAMA HAITAWAHI KUTIBIWA:-

1. Kushindwa kabisa kukojoa.

2. Kupatwa na maambukizi ya UTI mara kwa mara

3. Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.

4. Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.

5)Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:

Ipo njia ya upasuaji mambayo hutumika hospital Mara nyingi 

Lakinini habari njema ni kwamba tuna bidhaa inayo weza kwenda kuyeyusha kuvinba kwa tezi dume bila upasuaji

Karibu ushaur ni bure kabisa

Tupo #Arusha #Dar es salaam #Mwanza #Morogoro #Dodoma #Mbeya na nk

Gharama apo chini ni dose ya mwezi mmoja ili ukae sawa ni miez mitatu

Ila wapo wanao pona kabisa kwa dose ya mwezi mmoja kutokana na hali ya mhusika