Je umeshapata dalili zifuatazo Kutokwa na uchafu ukeni Kupata miwasho ukeni Kutofurahia Tendo la ndoa Uke kuwa mkavu Maumivu wakati wa Tendo la ndoa Kukosa hamu ya Tendo la ndoa Maumivu wakati wa kukalibia kwenye Hedhi Kutokwa na harufu mbaya ukeni (Shombo la samaki) Kama una moja ya dalili hizi ujue kuwa upo kwenye tatizo la PID ( Maambukizi kwenye via vya uzazi) ambayo husababisha kuziba mirija ya uzazi, Mimba kuharibika, Kushindwa kubeba ujauzito pia hata kupata Saratani ya kizazi ( Endometrial Cancer) . Habari njema ni kwamba tuna suluhisho juu ya matatizo yote ili kupata ushauri na tiba wasiliana nasii
Lost your password? / Register