Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME MADHARA NA TIBA YAKE

Nov 9th, 2022 at 06:51   Beauty & Health   Arusha   18 views

-- TSh

  • dalili-za-kuvimba-kwa-tezi-dume-madhara-na-tiba-yake-big-0
Location: Arusha
Price: -- TSh

#Tezidumenini

 

IJUE TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE BILA UPASUA

 

Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ya kiume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uum

 

*NOTE:Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au Saratani

 

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dum

•Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis)

 

•Kukua kwa tezi dume ambayo sio Saratani (Benign Prostati

Hypertrophy-BPH)

 

•Saratani ya tezi dum

 

*KAZI YA TEZI DUM

 

•Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen

 

*SARATANI YA TEZI DUM

 

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume dunian

 

Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendele

 

*VISABABISHI VYA SARATANI YA TEZI DUM

 

Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa n

 

•Umri, Wanaume wenye umri kuanzi

miaka 40 na kuendelea wanapata zaidi saratani ya tezi dume

 

•Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta, hasa ya wanyam

 

•Historia ya tatizo hili kwenye familia (Genetic

 

•Kuwa na uzito uliokithir

 

*DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUM

 

Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume Isiyokuwa Saratani (BPH

Dalili hizo ni pamoja na;

 

•Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usik

 

•Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojo

 

•Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa

 

•Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wot

 

•Kutoa mkojo au mani

yaliyochanganyika na damu

 

•Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili kama Saratani imesamba

 

•Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzung

 

*UCHUNGUZI / UPIMAJ

•Uchunguzi kwa kutumia kidole cha shahada kupitia njia ya haja kubwa na kuhisi ukubwa wa tezi kwenye ukuta wa puru

 

•Kipimo cha damu kuangalia kiwango cha aina ya ‘protein’ iitwayo ‘Prostat

Specific Antigen (PSA), proten’ hii huwa juu kuliko kawaida kama mtu ana Saratani ya Tezi  Dume na wakati mwingine kama ana maambukizi (prostatitis)

 

•Kuchukua kipande cha nyama kwenye tezi (Prostate Biopsy) kwa uchunguzi wa kimaabar

 

•Kipimo cha mawimbi sauti (Ultrasound) ambacho husaidia kuonyesha ukubwa na sura ya tezi dum

 

•Vipimo vya CT scan, MRI kutambua kama Saratani imesambaa sehemu nyingine za mwil

 

*TIBA YA UVIMBE TEZI DUME IPO KWA NJIA YA ASILI BILA UPASUAJI

 

TUWASILIANE kwa msaada zaid ushaur ni bure kabisa wa.me/2557651639

 

#ugonjwawatezidu

#dalilizatezidum

#madharayatezidum

#tibayatezidum

#tezidum

#ProstateRelax

#tibayatezidume

#tezidume

#ProstateRelax