Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME NA TIBA YAKE

Jan 20th, 2022 at 09:46   Beauty & Health   Dodoma   153 views

-- TSh

  • dalili-za-kuvimba-kwa-tezi-dume-na-tiba-yake-big-0
  • dalili-za-kuvimba-kwa-tezi-dume-na-tiba-yake-big-1
  • dalili-za-kuvimba-kwa-tezi-dume-na-tiba-yake-big-2
  • dalili-za-kuvimba-kwa-tezi-dume-na-tiba-yake-big-3
Location: Dodoma
Price: -- TSh

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI

#TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) -

Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume. Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo. Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume. Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.

Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume. Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

• Kukojoa Mara kwa mara.

• kubakiza mkojo kwenye kibofu.

• kukojoa saana usiku.

• Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.

• Kupungukiwa nguvu za kiume

• UTI ya Mara kwa mara.

• Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.

• Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.

• Kupoteza fahamu.

•Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.

• Uume kushindwa kusimama vizur.

•Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME KAMA HAITAWAHI KUTIBIWA:-

1. Kushindwa kabisa kukojoa.

2. Kupatwa na maambukizi ya UTI

3. Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.

4. Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.

5Figo inaweza kuharibika.

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo: Linaondoka bila Upasuaji

Tumewasaidia wengi na wamepona kwa haraka zaidi kwa kufuata ushauri tulio wap.

#Tezidumeninini #madharayatezidume #Ugonjwawatezidume #tibayatezidume Usisite kuwasiliana nasi