DALILI ZA TEZI DUME AU MAAMBUKIZI YA BACTERIA NA TIBA YAKE
Nov 27th, 2021 at 14:34 Beauty & Health Arusha 128 viewsDALILI ZA TEZI DUME KUVIMBA AU MAAMBUKIZI YA BACTERIA
1.Kukojoa mara kwa mara, ama kuhisi kukojoa mara kwa mara
2.Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
3.Kupatwa na uzgumu kutoa mkojo
4.Mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu
5.Mkojo kukatakata unapofika karibu a mwisho
6.Kujichafua wakati wa kukojoa
7.Kushindwa kumaliza mkojo kabisa.
. 10.Kupata mkojo mchache sana
Kuwa na dalili tajwa hapo juu pekee hakuwezi kukupa uhakika kuwa una tatizo la tezi dume.
Kwani dalili tajwa hapo juu zinaweza kuambatananna shida nyingine za kiafya kwa mfano:-
3.Kupunguwa ukubwa wa mrija wa mkojo
4.Kuwepo na vijiwe kwenye kibofu
5.Kuwa na shida kwenye mfumo wa neva ambazo hudhibiti ufanyaji kazi wa kibofu
7.Kama upasuaji katika kibofu haukufanyika sawa.
Hata hivyo endapo matibabu yatachelewa athari zifuatazo zinaweza kupatikana:-
2.Kupatwa na maambukizi ya UTI
3.Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu
4.Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea
Mwisho Mwisho napenda kumaliza kwa kusema kuwa tatizo la tezi dume linatibika bila wasi.
Zipo dawa za hospitali mgonjwa anaweza kupewa.Kamatatizo lake ni kubwa zaidi anaweza kufanyiwa upasuaji
Tupo na bidhaa zinazoweza kutoa uvimbe wa Tezi dume au bila upasuaji
Gharama za matibabu zinategeme na ukubwa wa tatizo