Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DALILI ZA TEZI DUME NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI

Jul 19th, 2022 at 12:55   Beauty & Health   Arusha   36 views

-- TSh

  • dalili-za-tezi-dume-na-tiba-yake-bila-upasuaji-big-0
  • dalili-za-tezi-dume-na-tiba-yake-bila-upasuaji-big-1
Location: Arusha
Price: -- TSh

FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME wasiliana nasi Kwa ushauri zaidi wa Vyanzo Vipo Vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

️Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

 ️Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

️Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

️Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

️Kisukari

️Kuwa na mawazo na wasiwasi

️Matumizi ya madawa mbalimbali

️Umri hasa wazee

️Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

️Kuwa na tatizo la kibofu

️Tabia za kujichua kwa mda mrefu

️Kutopata usingizi kamili

️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

 DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

️Kuwahi kufika kileleni

️Kukosa hamu ya mapenzi

️Kushindwa kurudia tendo la ndoa

 ️Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

️Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

️Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

️Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji TIBA NZURI NI ILE ITAKAYO KUSAIDIA;

Kuondoa tatizo la Kuwahi kufika kileleni

Kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume

Kuondoa tatizo la Homon Imbalance

Kuzuia maumivu ya korodani na Korodani kupanda juu Kuimarisha na Kuongeza nguvu katika mirija ya uume

 Kuupa Msuli wa Pelvic nguvu

Kuepusha uume Kusinyaa katikati ya mchezo

Kuzalisha mbegu Zenye ubora na kuzuia Ugumba/Utasa

Kusafisha kibofu Cha Mojo

Kuzuia na kutibu maambukizi kwenye Uzazi, maumivu ya mgongo na tumbo kwa mwanaume

 Kuzuia Korodani kuvimba au kusinyaa Unaweza kuwasilina nasi Kwa ushauri zaidi msaada na juu ya tiba sahihi