DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI NA TIBA YAKE
Dec 27th, 2022 at 09:43 Beauty & Health Arusha 48 viewsUGONJWA WA KISUKARI
Ugonjwa kisukari au kitaalamu tunaita (diabete mellitus) ni tatizo linalosababishwa na ukosefu wa insulin ambayo hutoka katika kongosho
Kuna aina mbili za ugonjwa wa sukari
1️⃣ Kisukari type 1
2️⃣Kisukari type 2
KISUKARI TYPE 1
hii ni aina ya kisukari ambayo kitaalamu tunaiita JUVENILE DIABETES ambayo mara nyingi inawapata watoto wadogo mara nyingi ugonjwa huu huwa wa inheritance yani ni moja ya Magonjwa ya kurithi ugonjwa huu husababishwa pia na kuharibiwa kwa seli za kongosho hivyo kushindwa kutoa insulin ya kutosha
DALILI ZA KISUKARI TYPE1
Kuhisi kiu sana
Mdomo kuwa mkavu sana
Matatizo ya ngozi na njia za mkojo
Kiungulia na kichefu chefu kikali
Kukojoa mara kwa mara
Kuhisi njaa kila wakati
Mwili kukosa nguvu
Jasho sana hasa nyakati za usiku
Kushindwa kujiamini
2️⃣ DIABETES TYPE 2
hii ni aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ambayo huwapata watu wazima umri kuanzia miaka 45 plus hapa inaeeezekana insulin ipo ila haifanyi kazi kabisaa au hufanya kazi kwa kiasi kidog sana hivyo kushindwa kupambana na sukari
SABABU MBADALA ZINAZOSABABISHA UGONJWA WA SUKARI
️Ulevi hasa wa pombe kali
️Uvutaji wa sigara
️Matumizi ya madawa makali hasa antibiotic
️Ulaji mbovu hasa mafuta mengi na vyakula vya kiwandani vyenye kemikali
️ MATATIZO MENGINE YANAYOSABABISHWA NA SUKARI
Magonjwa ya moyo
Kiharusi
Mishipa ya fahamu kushindwa kufanya kazi vzr
Figo kufeli n.k.
Unaweza kutupigia Kwa ushauri zaidi