Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DAWA YA ASILI KWA MATIBABU YA BAWASIRI

Jan 4th, 2022 at 14:38   Beauty & Health   Dar es Salaam   178 views

1 TSh

  • img
Location: Dar es Salaam
Price: 1 TSh Negotiable

 

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, AINA ZAKE, DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE MEPESI.

Bawasiri ni nini -

Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk

️Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu .

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa

3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

4.kupata kinyesi chenye damu

5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

6.Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

️ Uzito kupita kiasi(Overweight)

️ Ujauzito

️ Unywaji pombe

️ Kukaa sana sehemu ngumu

️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).

️ Kujisaidia Choo Kigumu. Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:

-Vidonda vya TUMBO

-Ngiri/Hernia

-Ulaji duni

️ Kula sana nyama nyekundu

️ Presha ya kupanda

️ Kula sana pilipili

️ Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)