Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DETOXILIVE

Jan 14th, 2023 at 10:31   Beauty & Health   Arusha   31 views

65,000 TSh

  • detoxilive-big-0
Location: Arusha
Price: 65,000 TSh

BF SUMA DETOXILIVE CAPSULE

 

IJUE DETOXILIVE CAPSULE NA KAZI ZAKE

 

Bidhaa Hii ni Muhimu sana Kwa kila BINADAMU kutokana na kazi zake MWILINI hasa katika organs muhimu Kama vile Figo ,Ini ,Mapafu ,Kongosho ,Ubongo na nk ,

 

Tunatumia vyakula ,Vinywaji na Madawa yenye kemikali na Sumu lakini hatuli vitu vinavyo toa sumu mwilini habar njema ni kwamba DETOXILIVE ni suluisho

 

*Hizi ni Baadhi ya Faida za DETOXILIVE*

 

 1.Huondoa sumu mwilini.

 

2. Inaimarisha ubongo na kutunza kumbukumbu

 

3.Inaondoa madhara ya pombe kwa wanywaji na kulinda INI na FIGO 

 

4.Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilin, baada ya kula hutumiwa Kuzuia kuota vitambi, 

 

5. Inaondoa sukari iliyozid mwilin Na ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu (presha) 

 

6.Huondoa hali ya uzee wa sura na mwili kabla ya wakati

 

7.Ina ondoa URIC ACID ilio zidi mwilini 

 

8.Huondoa maumivu ya viungo hasa kwenye maungio kwan unbalance kiwango cha uric acid

 

9.Inaimarisha UTENDAJI KAZI MZURI na kuzuia madhara kwenye FIGO,INI,KONGOSHO,mapafu

 

10.Inaleta usingizi Mzuri sana

 

11.Huondoa hali ya uchovu uchovu usio na sababu

 

Tunapatikana

Arusha

Mwanza

Dar es salaam

Dodoma na nk...

 

Wasiliana nasi kwa ushauri na tiba

#detoxlive

#detoxilivecapsule

#bfsumadetoxilivecapsule