Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

ENEO ZURI LENYE MITI MBALIMBALI NA NYUMBA LINAUZWA.

Oct 20th, 2021 at 03:43   Real estate   Mwanza   123 views

150,000,000 TSh

  • eneo-zuri-lenye-miti-mbalimbali-na-nyumba-linauzwa-big-0
  • eneo-zuri-lenye-miti-mbalimbali-na-nyumba-linauzwa-big-1
  • eneo-zuri-lenye-miti-mbalimbali-na-nyumba-linauzwa-big-2
  • eneo-zuri-lenye-miti-mbalimbali-na-nyumba-linauzwa-big-3
Location: Mwanza
Price: 150,000,000 TSh Negotiable

ENEO LINALO UZWA, LINA UKUBWA WA SQUIRE MITA 1258 NA LIMEPIMWA.KATIKA ENEO, KUNA NYUMBA 2, YA MBELE NI SELF VYUMBA 3 NA SEBULE. NYUMBA YA NYUMA INA VYUMBA 5 NA KUNA CHOO NA BAFU VYA NJE VYA KISASA. PIA KUNA MSINGI WENYE RAMANI YA KISASA YA VYUMBA 5 SELF, ENEO LINA BANDA LA KUFUGIA KUKU LIMEJENGWA KWA TOFALI, ENEO LINA FENSI YA UKUTA NA PANA GETI. PANA FREM 2 ZA BIASHARA NA PAMEPANDWA MAUA YA GARDEN NZURI, MITI YA MACHUNGWA, NDIZI NA PARACHICHI IMEANZA KUZAA. NAFASI YA PACKING NI YA KUTOSHA. ENEO LIPO MKOA WA MWANZA WILAYA YA ILEMELA KIJIJI CHA MONDO KARIBU NA SHULE YA MONDO ENGLISH MEDIUM.BEI YA ENEO NI MILIONI MIA NA HAMSINI (TSH.150,000,000/=) NJIA INAINGILIKA VYEMA KARIBUNI SANA.

Additional Details

Size 1258
Rooms 3
Furnished Yes
Building Type House
Parking Yes