Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

FAHAMU CHANZO DALILI TIBA NA MADHARA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME

Jul 18th, 2021 at 07:36   Beauty & Health   Arusha   198 views

-- TSh

  • fahamu-chanzo-dalili-tiba-na-madhara-ya-kuvimba-kwa-tezi-dume-big-0
  • fahamu-chanzo-dalili-tiba-na-madhara-ya-kuvimba-kwa-tezi-dume-big-1
Location: Arusha
Price: -- TSh

FUHAMU TEZI DUME NI NINI DALILI ZAKE VYANZO NYAKE MADHARA TIBA NA JINSI YA KUJIKINGA.

Hongera sana kwa kuendelea kusoma Kabla ya kuanza somo letu jibu haya swali •

Je unapata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku •

Je haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa. •

Je mkojo hutiririko wenye udhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

• Je hujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

• Je hutoa mkojo au manii iliyochanganyika na damu

• Je una maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili kama saratani imesambaa

. • Je hupngua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

• Je hushindwa kushiri tendo kikamilifu

Hapo chini utaona dalili mbaya zaidi na madhara ya tezi sasa Baada ya kujua hayo njoo ujifunze

TEZI DUME NI NINI

  Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nalo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au saratani. 

  Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume.

• Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis).

• Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH).

• Saratani ya tezi dume.

KAZI YA TEZI DUME

Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms)

kutengeneza manii (semen).

  •SARATANI YA TEZI DUME

Saratani ya tezi dume inashika nafasi tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani.

Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 50 na kuendelea.

 •VITU VINAVYOSABABISHA SARATANI YA TEZI DUME Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na; • Umri, Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50+ na kuendelea wanapata zaidi saratani ya tezi dume. •

  Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta, hasa ya wanyama

 • Historia ya tatizo hili kwenye familia (Genetic). •

Kuwa na uzito uliokithiri.

HIZI HAPA NDIZO DALILI KALI NA MBAYA ZAIDI Ambazo pia ni Madhara ya Tezi Dume

Fahamu kua dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume lisilokuwa saratani (BPH).

Dalili hizo ni pamoja na

• Mkojo kuziba ghafla au Damu kwenye mkojo

• Maambukizo ya njia ya mkojo ya mara kwa mara.

• Figo kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya shida ya tezi dume.

• Mawe ya kibofu pamoja na tezi dume iliyopanuka.

• kuongezeka kwa mkojo unaobaki baada ya kukojoa.

• kushindwa kushirik tendo( kuwai,kuchoka,kushindwa kabsa na nk)

 •TIBA YA SARATANI YA TEZI DUME Matibabu ya saratani ya tezi dume yanategemea hatua ya ugonjwa na umri wa mgonjwa.

Aina za tiba hizo ni pamoja na; • Upasuaji ( Surgey)

• Mionzi (Radiotherapy) • Vichochezi (Homonal therapy)

• Kemikali (Chemotherapy)- • Ubaridi (Cryotherapy)

Ambopo wakati mwingine hizo njia zinaweza kua na madhara kwa mgonjwa Kama utapenda kupata njia ya kutumia viini lishe na ukajitibu bila upasuji wasiliana nasi

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=150377396921679&id=106814984611254

(Hiyo link ni ya lishe ya kujitibu tezi dune pila upasuaji)

WITO:Mara uonapo dalili hizo au kujiisi haupo sawa wai katika kituo cha afya ili kuepuka madhara makubwa

Tunapatikana

Arusha

Pia tuna tiba ya sukari,pressure,kansa kiharusii,uvimbe,moyo,mawe kwa figo,na nk tupigie tukupe elimu bure