Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

FAIDA YA KUTUMIA GINSENG

Feb 15th, 2022 at 13:15   Beauty & Health   Dodoma   140 views

30,000 TSh

  • faida-ya-kutumia-ginseng-big-0
Location: Dodoma
Price: 30,000 TSh

FAIDA YA KUTUMIA GINSENG

 

Je, ulishawahi kujiuliza kwanini siku hizi kuna changamoto nyingi za kiafya?

 

Na changamoto hizo hutokana na mfumo wa maisha yetu.

Nikisema mfumo ni namna tunavyoishi tunaingiza sumu nyingi kupitia hewa maana kuna uvutaji wa sigara japo wewe huvuti ndio lakini unakutana nao kwa njia ya hewa vip kuhusu viwanda kuna magali pikipiki yaani vyombo vya moto kwa ujumla hivyo huchafua hali ya hewa.

 

Lakini pia tunatumia dawa zenye kemikali na kunywa vinywaji wenye wingi wa sukari,alcohol na acid.

 

Pia ulaji wetu unashangaza kidogo tunapenda saana vyakula vitaam vilivyopikwa kisasa zaidi kama vile baga, chips,pilau hapo hujasema kuku wa kizungu.

 

Japo kwa badhii ya watu wanajitaidi kula mbogamboga na matunda lakini bado wanakutana na sumu maana asilimia kubwa ya watu hukuza mbogamboga kwa mbolea na kuzipulizia dawa hivyo hivyo kwenye matunda.

 

Ndio maana matatizo ya kiafya ana kua mengi sana 

 

Kama vile presha,kishukari,kukosa hamu ya tendo la ndoa,kukosa nguvu za kiume, maumivi wa kati wa hedhi kupoteza kumbukumbu nk.

 

Lakini vip kama nikikushauri kutumia bidhaa asilia itakaokufanya ujisikie vizuri na kutatua changamoto nyingi za kiafya ikiwepo nguvu za kiume kwa sababu ina mzizi ya Ginseng uzuri wake pia ni kahawa ilioondolea caffeine hivyo unakupa usingizi, inaimarisha kumbukumbu na kuboresha mfumo wa wa kusikia na kuona.

Inaondoa tatizo la shinikizo la juu la damu.

Inasaidia kupunguza kasi ya kusambaa kwa Kansa.

Kubwa zinasaidia kuongeza kinga mwili na kuondoa changamto zitokanazo na uzito mkubwa yaani maumivi ya viungo au mwili mzima,presha,kisukari,uzito mkubwa nk..

 

NAAMINI WEWE NI MTU MAKINI SANA HII GINSENG HUWEZI KUKUBARI IPITE HIVI HIVI NJOO KUNA OFFA YAKE.

NB:WAHI MAANA OFFA YA GINSENG INAWEZA KUISHA SIKU YOYOTE.