FAIDA ZA ANATIC SOAP
Sep 19th, 2021 at 13:48 Beauty & Health Arusha 361 views
Location:
Arusha
Price:
8,000 TSh
Ni sabuni iliyotengenezwa kupitia vitu vitatu( 3)
FAIDA ZA SABUNI HII
→inaondoa chunus,madoa na harara kwenye Ngozi
→inaifanya ngozi kua safi mda wote
→ni nzuri sana kwa jinsia zote
→inasaidia ngozi inayotoa mafuta
→inaondoa mapunye kwa watoto na wakubwa pia
→ inakawia kuisha mana ningumu sana.it's well compacted)
→Inaondoa fangas na harufu mbaya sehem za siri.