FAIDA ZA FEMICARE
Aug 22nd, 2021 at 16:47 Beauty & Health Dodoma 408 views
Location:
Dodoma
Price:
40,000 TSh
Negotiable
FAHAMU FAIDA ZA FEMICARE KWA WEWE MWANAMKE.
1. Huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaochangia vyoo.
2. Inatibu Fangasi sugu ukeni na U.T.I sugu.
3. Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D ikitumika na Yunzi.
4. Huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika.
5. Inafanya Uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6. Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika ikitumika na Yunzhi.
7. Inakaza misuli ya Uke uliolegea na kuwa tight.
8. Inaondoa maumivu ya Tumbo chini ya kitovu. (chango).