Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

FAIDA ZA ZAMINOCAL CAPSULE

Jan 25th, 2023 at 08:58   Beauty & Health   Arusha   9 views

70,000 TSh

  • faida-za-zaminocal-capsule-big-0
Location: Arusha
Price: 70,000 TSh

FAIDA ZA ZAMINOCAL PLUS CAPSULE

 

 Bidhaa hii ni tajiri wa madini ya Zink ,Calcium ,Magnesium ,Amino Acid ,Selenium katika kidonge kimoja Faida zake Mwilini 

 

1.Husaidia Mifupa kua imara zaidi kuzui kuvunjika haraka

 

 2.Husaidia ufyonzwaji mzuri wa chakula mwilini 

 

3.Husaidia sana mfumo wa fahamu/ubongo kua na kumbukumbu 

 

4.Huupa mwili nguvu na kuongeza kinga ya mwili 

 

5.Husaidia kua na umbile lililo kaza na lenye kunawiri (Me) 

 

6.Husaidia sana na ni muhimu katika tendo la ndoa me na ke 

 

7.Husaidia wanaume kutoa mbegu zenye rutuba na za kutosha 

 

8.Husaidia mwanamke katika suala ya upevushwaji na ukomavu wa mayai 

 

9.Husaidia kupunguza maumivu wakati wa hedhi 

 

10.Ni nzuri kwa Mama anae nyonyesha(Huongeza maziwa yenye virutubisho kwa mtoto ) 

 

11.Husaidia Mama majamzito kupata mtoto mwenye afya bora na kuzui mimba kutoka/kuharibika . 

 

12.Huongeza hamu ya kula Mara dufu 

 

13.Huimarisha kucha na meno kua inara zaidi 

 

14.Huondoa kuganda kwa damu pia Husaidia vidonda kupona kwa haraka 

 

15.Ni nzuri sana kwa wanao kufa ganzi viungo ikitumika na Micro

 

 Bidhaa hii ni ya asili haina kemikal ni nzuri kwa Mtoto ,Kijana ,Mzee ,Mama mjamzito ,Mama anae nyonyesha Ni vyema kua nayo ndani 

 

Tunapatikana 

Arusha

Mwanza

Dodoma 

Dar es salaam #bfsumazaminocalcapsules #faidazazaminocalcapsules #zaminocalcapsul

 

Mikoani tunatuma bila shaka karibu sana