Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

FANGASI UKENI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

Dec 31st, 2021 at 10:48   Beauty & Health   Arusha   265 views

-- TSh

  • fangasi-ukeni-dalili-madhara-na-tiba-yake-big-0
Location: Arusha
Price: -- TSh

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI / SEHEMU ZA SIRI NA TIBA YAKE

(Vaginal Thrush) ndugu Zangu Naomba Nielezee Kuhusu Mwanamke Na Uke,kwa Maana Ya Uke Ni Kiungo Cha Uzazi Wa Mwanamke,

Ambapo Ndani Yake Kuna Lactobacillus Bacteria Na Fangasi Wazuri Ambao Wako Katika Kiwango Kinacho Lingana/a Balanced Mix.

Bacteria Hawa Na Fangasi Hizi Husaidia Sana Kuulinda Uke Na Maradhi Mbalimbali Endapo Uwiano Wake Hauta Bughuziwa.

Lactobacillus Bakteria Hutoa Acid Ambazo Huzuia Fangasi Kukuwa Au Kuwa Wengi Zaidi. ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni Ni Ugonjwa Anaoupata Mwanamke Endapo Fangasi Watakuwa Wengi Zaidi Ya Bacteria Wazuri Waliopo Ukeni Au Kama Ph Ya Ukeni Imezidi Kiwango Cha Kawaida Kinachopaswa(Ph 3.5-4.5 Ndio Kiwango Kizuri Kiafya).

fangasi Za Ukeni Mara Nyingi Husababishwa Na Fangasi Waitwao Candida Albicans, Lakini Wakati Mwingine Ni Aina Nyingine Za Fangasi Na Hizi Ni Vigumu Sana Kutibika

Vitu Vinavyoweza Kusababisha Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni.

️.Matatizo Ya Homoni(Homoni Za Kubadilika/kuwanyingi Sana Au Kushuka Sana) Hii Inaweza Kusahabishwa Na; Ukomo Wa Hedhi,ujauzito, (Mp)kuwa Katika Siku Za Mwezi, Matumizi Ya Dawa Za Kuongeza Kiwango Cha Hormon Za Kike

️ Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke

️.kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga

️.kushuka Kwa Kinga Ya Mwili Hii Inaweza Kusababishwa Na Magonjwa Mbalimbali Kama Ukimwi, Kisukari, Upungufu Wa Madini,vitamini Na Virutubishi Mbalimbali Vya Mwili.

️.ulaji Mbaya Hasa Kupendelea Vyakula Vyenye Sukari Kwa Wingi (Sukari Ni Chakula Kwa Fangas Hivyo Huongezeka).

️.kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .

DALILI ZA FANGASI UKENI. kuna Dalili Nyingi Sana Kama Zifuatavyo; ~

️muwasho Sehemu Za Siri

~️vipele Vidogo Vidogo Ukeni ~

️kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya

~️vidonda Au Michubuko Ukeni ~

️kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni ~

️kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa ~

️kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke ~

️kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke

MADHARA YA FANGASI •Hommon kutokua balance •Mvugugiko wa hedhi •Mimba kuharibika •Kuchelewa kushika ujauzito au kutobeba kabisa Tatizo hili linatibika bila shida yeyote ila unapo endelea kukaa nalo mda mrefu huleta madhara makubwa mno Kwa ushauri zaid wasilianasi

Tunapatikana Arusha Mwanza Dodoma Morogoro Dar es salaam Lindi