Hormon imbalance na Tiba yake
Dec 8th, 2021 at 17:53 Beauty & Health Arusha 124 viewsDALILI ZA HORMONE IMBALANCE
Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele.
Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:
Ukavu ukeni
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kutoa jasho usiku
Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
Mabadiliko ya siku za hedhi
kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
Uchovu wa mara kwa mara
Hasira za mara kwa mara
Kukosa usingizi
Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
Maumivu ya viungo
Upungufu wa nywele kichwani
Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
Maumivu ya kichwa mara kwa mara
Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
Kutokupata choo kwa wakati
Misuli hudondoka
MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONl
Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.
Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua,
huathiri mtoto atakayezaliwa,
huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria),
kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:
•Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
•Mimba kuharibika mara kwa mara;
•Kukosa mtoto au Ugumba
•Maumivu wakati wa tendo la ndoa
•Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
•UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara
•Kuzeeka mapema
•Kuziba kwa mirija ya uzazi
•Saratani
•Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)
SULUHISHO
Suluhisho Linalopendwa
Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replaceme
Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo: vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo, … n.k.
Suluisho la kudumu linapatikana
Tupigie au tutafute kwa ushauri zaidi na tiba (Tunatumia bidhaa za asili zisizo na madhara yeyote kuondoa hiyo changamoto)
Tunapatikana
Arusha
Dar es salaam
Morogoro
Mwanza
Mbeya
Dodoma