Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

HORMONES IMBALANCE

Jan 11th, 2023 at 13:03   Beauty & Health   Arusha   20 views

-- TSh

  • hormones-imbalance-big-0
Location: Arusha
Price: -- TSh

HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)CHANZO KIKUBWA KUKOSA MTOTO

Chanzo, Dalili, Madhara na TIBA

Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN Hivyo kupelekea wanawake wengi kushindwa kunasa mimba

VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE

Utoaji wa mimba

Uwepo wa sumu mwilini.

kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.

Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone

mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.

uzito mkubwa

Msongo wa mawazo.

UTI Sugu, Fangasi na PID

Kutofanya mazoezi.

Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango Dawa au vipandikizi vya uzazi wa mpango hutoa homone inaitwa Patroid amabayo huziba mirija ya fallopian na kuzorotesha mayai hivyo hupelekea homone za uzazi kutokuwa na uwiano pH wakati mwingine unajikuta unakosa Ute wa uzazi hamu ya mapenzi au tendo la ndoa kupotea, mvurugiko wa Hedhi , hedhi isiyoeleweka, maambukizi kwenye mirija ya uzazi na sababu nyingine nyingi japo hutofautiana mtu na mtu.

Pia Hali hii isipotibiwa kwa kuondoa madhara ya Dawa hupelekea mtu kutoshika ujauzito na Hedhi kuvurugika

DALILI ZA KUVURUGIKA KWA HOMONI

Kukoma kwa hedhi

Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Kutoshika mimba.

Mzunguko wa hedhi kubadilika.

Kuongezeka uzito.

Kupungua hamu ya tendo la ndoa.

Kupoteza kumbukumbu.

Hasira za Mara kwa Mara.

Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge

Uke kuwa mkavu.

kutoka jasho jingi usiku.

maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi

???????????????????????????? ???????? ???????????????????????? ???????????????????? ???????????????????????????? ????????????????.

mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.

???????????????????????????????????? ???????????????? ???????? ???????????????????? ???????? ???????????????????????? ???????????????????? ???????????????? ???????????????????? ???????????????? ???????????????????? ???????????????????????? ???????????????? ????????????????????????????????????????????????.

????????......

MADHARA YA KUVURUGIKA KWA HOMONI

kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.

Mimba kuharibika Mara kwa Mara.

Kuwa mgumba.

U.T.I Mara kwa Mara.(wengi hupuuzia)

Uvimbe kwenye via vya uzazi wa

mwanamke.(fibroids)

kuziba kwa mirija ya uzazi.

saratani.

NB: Dalili Mbaya ya maambukizi kwenye via vya ni kutokwa na Uchafu Sehemu za Siri hasa mweupe wenye halufu ( PID) Hii ni Hatari huwezi nasa Mimba hadi utibiwe.

TIBA

Kama umehangaika sana kutatua changamoto hii bila mafanikio Njoo tukusaidie kwa siku 30 tu kumaliza Changamoto yako.

TIBA ipo

Lakini pia tunatoa Tiba ya Magonjwa ya UTI SUGU, PID ,UVIMBE(Fibroids) ,FANGAS(Vaginal Thrush), Kushindwa kunasa Mimba tena na Homonal Imbalance, Kukosa hamu ya Tendo la ndoa ???????? ???????????????????? ???????????????????????????????? ???????? ???????????????????????????? ???????????????????????????????? nk...

Wasiliana nasi kwa msaada zaid