Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Ifahamu a natic soap inatibu magonjwa gani

Dec 8th, 2021 at 19:15   Beauty & Health   Arusha   269 views

-- TSh

  • ifahamu-a-natic-soap-inatibu-magonjwa-gani-big-0
  • ifahamu-a-natic-soap-inatibu-magonjwa-gani-big-1
  • ifahamu-a-natic-soap-inatibu-magonjwa-gani-big-2
  • ifahamu-a-natic-soap-inatibu-magonjwa-gani-big-3
Location: Arusha
Price: -- TSh

Ni sabuni iliyotengenezwa kupitia vitu vitatu( 3)

 

(1)asali ya nyuki wadogo

(2)mchaichai

(3)zabibu

 

KAZI ZA HII SABUNI

 

1.Inaondoa chunus,madoa na harara kwenye Ngozi

 

2.Inaondoa mba

 

3.utangatanga na miwasho

 

4.Inafanya ngozi kua safi na yenue unyevu vyevu mda wote

 

5.Ni nzuri sana kwa jinsia zote

 

6.Inasaidia ngozi inayotoa mafuta

 

7.Ni nzuri sana kwa watoto.

 

8.Inaondoa mapunye kwa watoto na wakubwa pia

 

9.Inakawia kuisha mana ningumu sana.it's well compacted)

 

10.Inaondoa fangas na harufu mbaya sehem za siri.

 

11.Hufanya ngozi kua soft na nyororo hivyo kuonekana bado kijana

 

12.Inalinda bactreia za kwenye ngozi(skin bacteria)

inachangia uwepo wa unyevu wa asili wa ngozi yako (Skin Elasyisity

 

Nisabuni ya asili kabisa haiba chemicals aina yeyote

 

Inapatikana

Arusha

Dodoma

Mwanza

Morogoro

Dar es salaam na nk