Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Ijue Tezi dume ,dalili , madhara na Tiba bila Upasuaji

Dec 12th, 2021 at 15:27   Beauty & Health   Arusha   199 views

-- TSh

  • ijue-tezi-dume-dalili-madhara-na-tiba-bila-upasuaji-big-0
Location: Arusha
Price: -- TSh

TEZI DUME NI NINI CHANZO DALILI NA TIBA BILA UPASUAJI (MWANZA,DODOMA,ARUSHA,DAR)

Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nalo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au saratani.

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume.

• Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis).

• Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH).

• Saratani ya tezi dume.

KAZI YA TEZI DUME Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen).

VITU VINAVYOSABABISHA SARATANI YA TEZI DUME Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;

• Umri, Wanaume wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea wanapata zaidi saratani ya tezi dume.

• Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta, hasa ya wanyama.

• Historia ya tatizo hili kwenye familia (Genetic)

 • Kuwa na uzito uliokithiri.

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME

Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume lisilokuwa saratani (BPH).

Dalili hizo ni pamoja na;

• Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku

• Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.

• Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

• Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

• Kutoa mkojo au manii yaliyochanganyika na damu

• Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili kama saratani imesambaa.

• Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

TIBA YA SARATANI YA TEZI DUME

Matibabu ya saratani ya tezi dume yanategemea hatua ya ugonjwa na umri wa mgonjwa.

Aina za tiba hizo ni pamoja na;

• Upasuaji ( Surgey)

• Mionzi (Radiotherapy)

• Vichochezi (Homonal therapy)

• Kemikali (Chemotherapy)-

• Ubaridi (Cryotherapy

Kila moja ya matibabu tajwa apo juu ina madhara yake'

Kwa ushauri zaidi na Tiba unaweza kuwasiliana nasi

Ushauri 

Virutubisho lishe vime vimechunguzwa na kuonekana vinauwezo wa kuondoa kuvimba kwa tezi bila upasuaji

Unaweza kutafuta Prostate Relax+Refined Yunzhi ni nzuri zaidi

Au wasiliana nasi kuipata

 Arusha Dar es salaam Mwanza Dodoma Mbeya Morogoro Iringa na nk