Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

JINSI YA KUEPUKA NA KUTIBU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA NGUVU ZA KIUME

Jan 15th, 2022 at 18:21   Beauty & Health   Arusha   119 views

-- TSh

  • jinsi-ya-kuepuka-na-kutibu-tatizo-la-upungufu-wa-nguvu-za-nguvu-za-kiume-big-0
  • jinsi-ya-kuepuka-na-kutibu-tatizo-la-upungufu-wa-nguvu-za-nguvu-za-kiume-big-1
Location: Arusha
Price: -- TSh

 

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri.

Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

4.Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

5.Kisukari
Kuwa na mawazo na wasiwasi

6.Matumizi ya madawa mbalimbali

7.Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

9Kuwa na tatizo la kibofu

10.Tabia za kujichua kwa mda mrefu
Kutopata usingizi kamili na nk

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama;

Kuwahi kufika kileleni

Kukosa hamu ya mapenzi

Kushindwa kurudia tendo la ndoa

Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;

Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

1.Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku

2.Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

3.Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine

4.Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi
Balansi usito wako
Usivute sigara

5.Punguza au acha kunywa pombe

6.Acha kabisa kujichua

7.Punguza mawazo
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

8.Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

9Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi  kwa ushauri zaidi NATIBA  wasiliana nami