JUA DALILI ZA BAWASILI NA TIBA YAKE
Jan 11th, 2023 at 20:49 Beauty & Health Arusha 32 viewsUJUE UGONJWA WA BAWASILI (HEMORRHOID) DALILI MADHARA NA TIBA YAKE
Hii ni hali inayotokea baada ya kuvimba kwa mishipa midogo (vena) inayozunguka sehemu au tishu za tundu la haja kubwa. Ambapo mishipa hii huvimba na kusababisha. Vimbe au vinyama kuota katk eneo la kutolea haja kubwa.
.
Pia mishipa hyo hupasuka na kusababisha damu kuvilia na kufanya tundu la hajakubwa kuwa bluu au mwekundu uliovimba na sometimes kuziba sehemu ya kutolea kinyesi.
Bawasili zipo za aina mbili kulingana na sehemu inapotokea... Inaweza kuwa ndani au kwa nje.
SABABU
mtu akiwa anahara sana
kuwa na kinyes kigumu mara kwa mara
ujauzito
kuwa na uzito kupita kiasi
kula sana vyakula vya kukoboa
kuchuchumaa mda mrefu wakat wa haja
mtu mwenye tatizo la ini huweza kupata pia
DALILI
damu kinyesini
maumivu wakat wa haja kubwa
kuwashwa kwa tundu la haja
kujitokeza kinyama kwenye tundu la haja kubwa
KUJIKINGA
kunywa maji mengi
mazoezi
kula mboga mboga na matunda kwa wingi
.
NB:Ni watu wengi wanao ugonjwa huu ila huona aibu kujionesha na hatimaye huenda kupasuliwa.... Usiogope endapo unalo tatizo au unamjua alienalo mfahamishe kuna bidhaa ataweza kuzitumia na hatoweza kupasuliwa, zinaondoa kabisa na huo uvimbe hautarudia tena.
Call/SMS/DM/whatsupp
0683444356