Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

KARIBU GREENLIGHT OPEN SCHOOL. TUPO MOROGORO MJINI

May 29th, 2021 at 15:44   Services   Morogoro   173 views

250,000 TSh

  • karibu-greenlight-open-school-tupo-morogoro-mjini-big-0
Location: Morogoro
Price: 250,000 TSh

Ni shule ya Greenlight Open School, tunapatikana morogoro mjini.

IMESAJILIWA KWA USAJILI NAMBA; IAE/OS/0764

Tunatoa program zifuatazo;

1. kidato cha 1-4 masomo yote

2. Mitihani ya maarifa (QT)

3. Wanaorudia mitihani kidato cha nne na sita

4. Elimu ya kidato cha 5&6 kwa mwaka mmoja (HKL,HGK,GKL &HGL)

5. KOZI YA KOPYUTA BURE KWA WANAFUNZI WOTE.

 

ADA YETU NI LAKI TANO KWA MWAKA, KUNA PUNGUZO LA 50% KWA WANAFUNZI HAMSINI WA MWANZO.

NYOTE MNAKARIBISHWA

Mawasiliano; 0766 246 663/ 0620 270 331