KAZI YA ZAMINICAL KWA MWANAMKE
Jan 13th, 2023 at 08:30 Beauty & Health Arusha 31 views*KWANINI ZAMINOCAL MUHIMU SANA KWA WANAWAKE.*
Hii bidhaa inaitwa *ZAMINOCAL* inaundwa na madini muhimu kama vile zinc,,calcium na Amino.
*KAZI YA CALCIUM(ca) KWA MWANAMKE*
↔️Calcium; Inasaidia sana sana kwenye kujenga na kuimarisha mifupa
↔️ Calcium inakaa kwenye damu
Hivyo ukipoteza damu unapoteza na Calcium
hapo hapo
↔️Sasa kwa kila mwanamke anayebleed kila mwezi means anapoteza Calcium kila mwezi hivyo kupunguza store iliyoko mwilini
↔️ Na ukibeba mimba unapoteza calcium zaidi maana inatumika kujenga mifupa ya mtoto tumboni
↔️Wakati wa kujifungua kuna damu inapotea sana so Calcium inapotea tena
↔️Ikiwa unanyonyesha pia mtoto anatumia Calcium Yako yote
↔️ So mwisho wa siku ndo maana wamama wengi wanakuwa wanaumwa migongo,magoti na kuonekana wazee kuliko wenza wao(waume zao)
Lakini Zinc iliyopo kwenye zaminocal nayo inamsaidia sana mwanamke hasa kwenye kukuza na kutoa yai.Ndio maana ukiongelea mambo ya uzazi lazima zaminocal ihusike.
Hivyo hivyo mwanaume hii Zinc inamsaidia kwenye kupevusha yai,