KISUKARI KINATIBIKA
Jan 17th, 2023 at 12:25 Beauty & Health Arusha 20 views~~ KISUKARI.
Ni ugonjwa unaosababisha glukosi kuzidi kwenye damu (damusuziada) kwa sababu ya ukosefu wa insulini au kongosho kutoa insulini isiyotosheleza mahitaji ya mwili.
Sababu za ugonjwa wa kisukari
- Magonjwa ya ini.
- Unene kupita kiasi.
- Msongo wa mawazo.
- Kurithi kutoka kwa wazazi.
- Kuvuta sigara wakati wa ujauzito.
- Kutumia nyama ilivyofukizwa moshi.
- Kuondolewa kongosho kwa upelesheni.
- Kuharibika kongosho kwa ajali au moto.
- Magonjwa ya kongosho mfano uvimbe kwenye kongosho unaosababishwa na pombe au virusi. Mfano: Rubella, mumps, HIV.
Dalili za kisukari
- Kukonda.
- Kutoona vizuri.
- Kuumwa na kichwa.
- Kuchoka bila ya kufanya kazi.
- Kula sana kwa sababu ya kusikia njaa sana.
- Kunywa maji sana kwa sababu ya kujisikia kiu mara kwa mara.
- Kusikia ganzi, kuchomwachomwa au maumivu kwenye mikono na miguu.
- Kujisaidia haja ndogo mara kwa mara, Mgonjwa hujisaidia zaidi ya mara tatu usiku.
TIBA
--Kuisaidia Kongosho Kujizalishia Insulini Lenyewe.
--Husaidia Kusafisha Sukari inayoingia Mwilini kupitia Chakula, Huponyesha Beta Cell za kwenye Kongosho, Husaidia uzalishwaji wa Insulini.
--Kusafisha Mfumo Wa Damu na Kuusaidia Mfumo wote wa Damu kwa Kuondoa Sumu na Moyo, INI Figo kufanya kazi Sawasawa.*
-- --Kuisaidia Kinga ya Mwili Kupambana na Magonjwa Kuupa Mwili Nguvu Na Kuponya Matatizo Sugu.
--- Huondoa Sumu Mwilini na Kuponya haraka Vidonda Vinavyosababishwa na Magonjwa Kama KISUKARI Nk.
--- Kwa kutibu mifumo husika Kisukari kinatibika.