Madirisha ya Aluminium na Pvc (Windows)
Mar 15th, 2022 at 15:25 Hardware & Construction Materials Dar es Salaam 77 views
Location:
Dar es Salaam
Price:
150,000 TSh
Negotiable
Madirisha mazuri na ya bei nafuu ya materials ya Aluminium na PVC yanatengenezwa ofisini kwetu Adonai Aluminium and PVC. Tuko Tegeta, Dar es salaam nyuma ya stendi ya Nyuki.
Kwa walioko Dar es salaam kufika saiti na kufanya vipimo kwa ajili ya kupewa gharama ya kazi ni bure kabisa. Nyote mnakaribishwa.
Mawasiliano: 0628615685 au 0716442922