Mapande farm
Dec 28th, 2021 at 21:38 Agriculture, Food & Drinks Dar es Salaam 108 views
Location:
Dar es Salaam
Price:
1,500 TSh
Offer offer offer offer offer offer
Msimu huu wa sikuku za Christmas na mwaka mpya
Kwa kuwajali na kuwasamini wateja wetu tuna waletea bei ya punguzo kwenye bidhaa zetu zifiatazo.
Miche ya papaya f1 hybrid.
Malkia papaya f1.
California papaya f1
Red Royale papaya f1
Kwa mche mmoja Elfu 1500.
Unacho takiwa kufanya ni kuweka odar yako mapema Ili kuepuka usimbufu.
Mbegu pia zina patikana kwa ujazo wa gram 10.
Kwa kuanzia miche 50 free delivery mpaka mkoa kwako .
Mbegu kuanzia Gram 10 free delivery.
Pia zawadi mbali mbali zita tolewa kwa watu.
0620613260
*Mr. Mapande*
From *Dar Es Salaam Tanzania*