Mapandefarm
Dec 27th, 2021 at 10:13 Agriculture, Food & Drinks Dar es Salaam 74 views
Location:
Dar es Salaam
Price:
2,500 TSh
Mapande farm
Ni wauzaji na wandaaji wa miche ya matunda na mboga matundu na mboga za majani.
Pia ni wasambaji na wauzaji wa mbegu za matunda, mboga mboga,mahindi n.k.
Pia ni wauzaji wa sumu za magumu wadudu pamoja na dawa mbali mbali za mie na growth booster.
Pia mbolea za kiwandani zina patika
Kwa mahitaji usi site wasiliana nasi kwa mitao ya kijamii
Mapandefarm