Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Marimba ya Majaliwa

Apr 27th, 2021 at 14:55   Books & Stationery   Dar es Salaam   155 views

12,000 TSh

  • marimba-ya-majaliwa-big-0
  • marimba-ya-majaliwa-big-1
  • marimba-ya-majaliwa-big-2
  • marimba-ya-majaliwa-big-3
  • marimba-ya-majaliwa-big-4
Location: Dar es Salaam
Price: 12,000 TSh

Je umeshawahi kusafiri kwa kutumia ungo au fagio? Umeshapanda mgongoni mwa nguva au kutalii kwenye tumbo la nyangumi?

Ungana na Majaliwa katika safari hii ya kusisimua, ukutane na Bibi yake anayeweza kuwa katika umbo lolote, jinsi anavyochenga na kuvisumbua vibwengo huko angani usiku wa manane wakiwa na Majaliwa kwenye ungo. Hatasahau hadithi hii na hatamsahau Majaliwa na safari hii ya kusaka marimba yake.

ISBN; 978-9998-411-48-1