Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

Masundo sundo na Tib yake

Dec 8th, 2021 at 18:21   Beauty & Health   Arusha   603 views

-- TSh

  • masundo-sundo-na-tib-yake-big-0
  • masundo-sundo-na-tib-yake-big-1
  • masundo-sundo-na-tib-yake-big-2
Location: Arusha
Price: -- TSh

UGONJWA WA MASUNDOSUNDO / VIGWARU (GENITAL WARTS) .

 

GENITAL WARTS - ( MASUNDO SUNDO ) NI NINI?

 

Ni vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando Laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri, vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), maeneo yanayozunguka haja kubwa na sehemu mbalimbali za mwili.

 

~Ugonjwa huu unaenezwa kwa njia ya kujamiiana (SEXUAL TRANSMITTED INFECTION) STI)

 

CHANZO CHA TATIZO HILI

 

~Ugonjwa wa Masundosundo husababishwa na virus waitwao HUMAN PAPILLOMA VIRUS ( HPV) hata hivyo Kuna Aina tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani Kuna ambao wanaosababisha Masundosundo katika sehemu tofauti kama vile mkono, mgongoni, mguuni nk.

 

Pia HPV huweza kasababisha sara... Read more