MASUNDO SUNDO YANATIBIKA KABISA KWA MFUMO WA VIRUTUBISHO LISHE
Jan 17th, 2023 at 12:36 Beauty & Health Arusha 26 views
Location:
Arusha
Price:
-- TSh
DALILI ZA MASUNDOSUNDO.
1. Mgonjwa wa tatizo hili hutokewa na vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye katika maeneo tofauti (MFANO HALISI TIZAMA KATIKA PICHA) ingawa wakati mwingine huwa ni vidogo kiasi cha kutoweza kuonekana kwa njia ya kawaida.
2. Mgonjwa kupata ganzi maeneo yaliyozungukwa na Masundosundo.
3. Kutokwa na uchafu mzito sehem za siri na kuwashwa kupita maelezo.
4. Kutokwa damu ukeni mara baada ya kufanya tendo la ndoa.
NOTE:
Mwanaume huwa anachelewa kupata dalili na huwa na uwezekano mkubwa wa kuambukiza wenza wao.
TIBA YA GENITAL WARTS.Ipo unapatikana kwa mfumo wa virutubisho lishe
#genitalwarts
#masundosundo