Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

MERA'S FRESH JUICE AND FRUITS

Jan 16th, 2022 at 08:23   Agriculture, Food & Drinks   Mtwara   101 views

1,000 TSh

  • img
Location: Mtwara
Price: 1,000 TSh

MERA'S JUICE AND FRUITS ni sehemu bora kwako wewe kunikatia juice baridi na matunda kwa ajili ya Afya yako, jipatue matunda mchanganyiko kama vile; Embe, papai, parachichi,  Ndizi, tango, karoti, Apple pamoja Tikiti maji [watermelon]

Tunafanya Delivery kila sehemu, kila ofisi na kila mahari karibu sana wateja wetu. 

Tunapatikana Mtwara Newala kata ya Kitangali.

Karibuni sana feel free when you come at MERA'S JUICE AND FRUITS