Milango ya Aluminium, PVC na Glass
Feb 17th, 2022 at 16:47 Hardware & Construction Materials Dar es Salaam 108 views
Location:
Dar es Salaam
Price:
450,000 TSh
Negotiable
Milango mizuri na ya bei nafuu ya Aluminium, PVC na Glass inapatikana Adonai Aluminium & Pvc.
Ofisi zetu ziko Tegeta Nyuki, Dar es salaam.
Mawasiliano 0628615685 au 0716442922.
Kufika site kupima na kukupa gharama ya kazi ni bure kabisa.
Karibuni nyote