Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

PID NI NINI ,CHANZO DALILI ,MADHARA,NA TIBA YA YAKE

Dec 6th, 2021 at 08:30   Beauty & Health   Arusha   284 views

-- TSh

  • pid-ni-nini-chanzo-dalili-madharana-tiba-ya-yake-big-0
  • pid-ni-nini-chanzo-dalili-madharana-tiba-ya-yake-big-1
  • pid-ni-nini-chanzo-dalili-madharana-tiba-ya-yake-big-2
  • pid-ni-nini-chanzo-dalili-madharana-tiba-ya-yake-big-3
Location: Arusha
Price: -- TSh Negotiable

PIID NI NINI ,DALILI, MADHATA NA TIBA YAKE

PID(Pelvic Inflammatory Disease) Ni maambukizi katika via vya uzazi)

Maambukizi haya yanaweza kuletwa na vyanzo mbali mbali kama vile

•Magonjwa : kisonono ,Kaswendwe' Uti au fangasi rudizi

•Utoaji Mimba

•Matumizi ya madawa kiholela

• Vizuizi mimba

•Kua na wapenzi wengi

•Mtindo wa maisha(Ulaji mbovu na kutokuzingatia usafi) na nk

PID ni ugonjwa hatari sana kwa wanawake unao shambulia via vya uzazi na madhara yake ni makubwa sana isipo tibika kwa haraka

HIZI NI BAADHI YA DALILI ZA PID

1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa Na unaharufu mbaya

2️.Kuwashwa sehemu za siri

3️.Uke kua mkavu nakutoa harufu mbaya

4️.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

5️.Uke kuwa wa ulaini sana kulegea 

6️.Maumivu wakati wa tendo la ndoa

7️.Kuvurugika Kwa hedhi

8️.Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi

9️.Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa

10.Homa,uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

11.Maumivu ya chini ya kitovu upande wa kulia au kushoto

MADHARA YA PID

•Ugumba

•Kansa ya shingo ya kizazi

•Mirija ya uzazi kuziba

•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

ANGALIZO:Uonapo Dalili moja au zaid wai katika kituo cha Afya ili kuepuka Madhara makubwa baadae

TIBA YA PID

PID inatibika na kupona kabisa Kwa ushauri swali juu ya tatizo hili waweza kuwasiliana nasi ni bure kabisa .

Tunapatikana

Arusha

Morogoro

Dodoma

Mwanza

Dar es salaam

Mbeya

Gharama iliopo apo sio rasmi kwa ajili ya kutibu P.I.d