Prostate relax balaa upasuaji
Nov 26th, 2021 at 13:30 Beauty & Health Arusha 100 views*TEZI DUME NI NINI* Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) -
*DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME* • Kukojoa Mara kwa mara. •
kubakiza mkojo kwenye kibofu. • kukojoa saana usiku.
• Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
• Kupungukiwa nguvu za kiume • UTI ya Mara kwa mara.
• Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo
•Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
•Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
• Uume kushindwa kusimama vizur
•Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo
. ATHARI ZA TEZI DUME KAMA HAITAWAHI KUTIBIWA:-
2. Kupatwa na maambukizi ya UTI
3. Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4. Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
Tunaondoa TEZI DUME bila upasuaji
Tupo #Arusha #Dar es salaam #Mwanza #Mororo na ni Gharama hutegemea na ukubwa wa tatizo