Prostate Relax Huondoa Tezi dume bila upasuaji
Nov 26th, 2021 at 12:42 Beauty & Health Arusha 112 views*DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME*
• kubakiza mkojo kwenye kibofu.
• Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
• Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
• Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
•Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
• Uume kushindwa kusimama vizur.
•Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.
ATHARI ZA TEZI DUME KAMA HAITAWAHI KUTIBIWA:-
2. Kupatwa na maambukizi ya UTI
3. Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4. Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika. Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo:
Tunaondoa TEZI DUME bila upasuaji
#Arusha #Dar es salaam #Mwanza #Mororo na ni Gharama hutegemea na ukubwa wa tatizo