Rashadu STORE
Jun 16th, 2022 at 10:45 Phones, Tablets & Accessories Dar es Salaam 16 views
Location:
Dar es Salaam
Price:
-- TSh
Negotiable
HAPA UNAWEZA JIPATIA BIDHAA ZIFUATAZO;
- Simu
- Earbuds
- Watches
- Laptops
- Smart Home
- Accessories
- Offer kulingana na Subsription.
Bidhaa zetu zinatoka kwenye kampuni za;
- Apple
- Sumsung
- LG
- Dell
- HP
- Lenovo
Bidhaa Zetu zinawarranty kuanzia miezi mitatu na Kuendelea
Tunahuza Jumla na rejareja(WHOLESALE& RETAIL).
Tunasafirisha Tanzania nzima na Nchi jirani za Africa mashariki(Rwanda, Kenya, Uganda, Burundi, DRC Congo, Somalia, Malawi)
Tunashilikiana na DHL,Postal na usafilishaji wa mabasi kama Kilimanjaro Express, Abood,Frester, Dar express, Tawaqari, Happy Nation, Tanzanite, ShabibyOline, MobasaExpress Nk.
Office Zetu zipo Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania
Uaminifu ndo nguzo yetu
Karibuni sana.