SABABU MADHARA YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU
Jul 17th, 2021 at 17:21 Beauty & Health Arusha 349 viewsSABABU MADHARA YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU
Sababu, madhara ya kukosa choo ‘Constipation’
kukosa choo hutokea pale mtu anakula vizuri lakini unakata siku tatu hadi nne bila kupata choo.
Tafiti zinaonyesha mtu anaweza kupoteza maisha kama atakosa choo kwa siku tano hadi saba mfululizo.
Watu wengi hulidharau tatizo hili lakini linamadhara makubwa tofauti na wanavyofikiria.
Matumizi mabaya ya madawa. Mfano dawa za presha, aleji n,k.
Kuugua kisukari au ugonjwa wa misuli.
•Yafuatayo ndiyo madhara yatokanayo na kokosa choo;
Unaweza kuugua saratani ya utumbo mpana.
Unaweza kupata tatizo la tumbo kujaa gesi.
Figo yako inaweza isifanye kazi vizuri.
Unawezasababisha magonjwa ya moyo.
Unawezasababisha magonjwa ya ini Unawezapata kisukari
Kuongeza lehemu (cholesterol)nying kwenye damu Vitambi visivyo tarajiwa na nk