Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

SARATAN YA TEZI DUME NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI

Dec 28th, 2021 at 13:21   Beauty & Health   Arusha   160 views

-- TSh

  • saratan-ya-tezi-dume-na-tiba-yake-bila-upasuaji-big-0
  • saratan-ya-tezi-dume-na-tiba-yake-bila-upasuaji-big-1
  • saratan-ya-tezi-dume-na-tiba-yake-bila-upasuaji-big-2
Location: Arusha
Price: -- TSh

TEZI DUME NI NINI?

Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nalo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au saratani.

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume.

• Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis)

• Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH).

• Saratani ya tezi dume.

KAZI YA TEZI DUME Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen).

SARATANI YA TEZI DUME

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo Vitokanavyona na saratani kwa wanaume duniani.

Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea.ila had I 50+hufa

VITU VINAVYOSABABISHA SARATANI YA TEZI DUME

Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani, saratani hii ina uhusiano mkubwa na;

• Umri, Wanaume wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea wanapata zaidi saratani ya tezi dume.

• Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha mafuta, hasa ya wanyama.

• Historia ya tatizo hili kwenye familia (Genetic).

• Kuwa na uzito uliokithiri.

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME

Katika hatua za awali, dalili hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume lisilokuwa saratani (BPH).

Dalili hizo ni pamoja na;

• Kusikia kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku

• Haja ndogo kuchelewa kutoka unapoanza kukojoa.

• Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo baada ya kumaliza kukojoa.

• Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.

• Kutoa mkojo au manii yaliyochanganyika na damu

• Maumivu makali sehemu mbalimbali za mwili kama saratani imesambaa.

• Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

TIBA YA SARATANI YA TEZI DUME

Matibabu ya saratani ya tezi dume yanategemea hatua ya ugonjwa na umri wa mgonjwa. Aina za tiba hizo ni pamoja na;

• Upasuaji ( Surgey)

• Mionzi (Radiotherapy)

• Vichochezi (Homonal therapy)

• Kemikali (Chemotherapy)-

• Ubaridi (Cryotherapy)

• Virutubisho lishe Njia ya Mwisho huweza kukukinga saratani isienee na kuondoa uvimbe wa Tezi dume bila Upasuaji

KINGA

Fanya mazoezi ya mwili na uwe na uzito unaostahili ukilinganisha na urefu wako

. Kula vyakula vyenye mafuta kiasi na hasa ya mimea, vyakula vyenye asili/ vyenye soya, vyakula vyenye “Lycopene” – inapatikana kwenye nyanya, tikiti maji, na matunda mengine, mboga za majani kwa wingi na samaki.

Tumia Virutubisho lishe Vyenye viambata Vya Ganodema/Uyoga mwekundu ,Zink ,Calcium ,Magnesium na Epimedium Extra na Prostaep1 vinakinga na kutibu

Kwa ushauri zaid Unaweza kuwasiliana nasi

Usipuuzie Mara uonapo dalili moja wapo hapo juu wai mapema