SPLINA CHLOROPHLL SOAP
Jan 2nd, 2022 at 08:31 Beauty & Health Dar es Salaam 92 viewsSPLINA CHLOROPHLL SOAP
Sabuni hii imetengenezwa na
chlorophyll ya kipekee yenye uwezo
mkubwa wa kurejesha kinga ya ngozi na
kuiponya kabisa.
KAZI ZA SPLINA CHLOROPHYLL SOAP
~Kurudisha ngozi na kuwa katika ubora
wake wa asili hasa kwa wale walioathirika na
vipodozi vya kemikali.
~Inaondoa mafuta kwenye ngozi
na kufanya ngozi kuwa kavu na safi.
~Inaondoa mabaka,upele
~Inaondoa sumu zote katika ngozi
~Huondoa mafuta yaliyoganda kwenye
ngozi na kufanya ngozi kupitisha hewa vizuri.
~Inatibu matatizo yote yatokanayo
na aleji na pumu ya ngozi.
~Inaondoa chunusi na kuirudisha
ngozi katika mng'ao wa asili.
~Inatibu fungus za aina zote hata zile za
kwenye vidole vya miguuni.
~Inatibu miwasho,
harara na kuponya vidonda.
Ni nzuri kwa
wanawake,
mwanaume,
watoto,
vijana na wazee pia.
NOTE:
Sabuni hii haijatengenezwa
na kemikali,hivyo ni
vema unapoitumia Sabuni hii
usipake lotion zenye kemikali.
Na kwa wale wanaohitaji
kwa Jumla au atakaependa kuwa wakala wa bidhaa hii na zingine nyingi,
tunawakaribisha.
Popote ulipo utafikishiwa.
Wasiliana nami ili kujipatia Splina Chiorophyll Soap kwa 25 000 Tsh tu.