SUN KING HOME 120 PLUS
Mar 14th, 2022 at 22:44 Electrical Materials & Equipment Dar es Salaam 57 views
Location:
Dar es Salaam
Price:
40,000 TSh
Fikiria nyumba yako ikiwa na taa 4 zinazong'aa pamoja na swichi zake, taa inayohisi mwendo kwa ajili ya ulinzi na redio ya kusikiliza stesheni zako pendwa. Unaweza kujipatia vyote hivi ukinunua mtambo wa Sun King Home 120 Plus.
Cha ziada ni kwamba, unaweza kuununua na ukaulipia kidogo kidogo kwa awamu (siku, wiki au mwezi).
0656 646464
0744 999991