Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

SUPER GRO NI TONE LA AJABU

Aug 15th, 2022 at 18:18   Agriculture, Food & Drinks   Dar es salaam   54 views

-- TSh

  • super-gro-ni-tone-la-ajabu-big-0
  • super-gro-ni-tone-la-ajabu-big-1
  • super-gro-ni-tone-la-ajabu-big-2
  • super-gro-ni-tone-la-ajabu-big-3
Location: Dar es salaam
Price: -- TSh

SUPER GRO hiki ni kirutubisho cha mimea inaongeza wingi wa mazao,Ardhi kuwa ya unyevunyevu muda wote pia inazuia mimea kuliwa na wadudu.ipo kwenye ujazo wa 250ml,lita 1 na lita 5 unatumia mwaka mzima sababu inategemea na ukubwa wa shamba lako